Saturday, December 7, 2019

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA SHULE YA MSINGI ALIYOSOMA MWALIMU JULIUS NYERERE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Elimu Mkoa wa Mara, Emanuel Kisongo,wakati alipotembelea Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia darasa la Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, iliyopo katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na mkewe Mary, wakiwa wamekaa kwenye dawati ambalo alikua akilpenda kulikalia Mwalimu Julius Nyerere, wakati akisoma kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mnara, kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere,  katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi , kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere,  katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.