Baadhi ya maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa wa ofisi hiyo, lengo ikiwa ni kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa ufanisi na weledi. Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi hiyo na kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa njia ya mtandao(TaGLA), jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na
Uwekezaji), Dorothy Mwaluko akisisitiza umuhimu wa mafunzo ya kujenga uwezo kwa
maafisa wa ofisi hiyo, lengo ikiwa ni kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa
ufanisi na weledi. Mafunzo hayo ya siku tano, yameratibiwa na Ofisi hiyo na
kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLA), jijini Dodoma leo
tarehe 24 Agosti, 2020.
Maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa wa ofisi hiyo, lengo ikiwa ni
kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa ufanisi na weledi. Mafunzo hayo ya siku
tano, yameratibiwa na Ofisi hiyo na kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa njia ya
mtandao (TaGLA), jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Mtaalamu wa masuala ya Sera kutoka Wakala ya Mafunzo kwa njia ya
mtandao (TaGLA) Apronius Mbilinyi akiendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wa
kutekeleza majukumu waliyokasimiwa maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mafunzo
hayo ya siku tano yanajikita katika namna ya kufanya Uchambuzi wa sera,
Tathmini na ufuatiliaji wa utekelezaji wa Sera hizo, utaalamu katika Uandishi
wa Ripoti pamoja na namna bora ya
kutekeleza shughuli za Uratibu. Mafunzo hayo
yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu na
kuendeshwa na Wakala hiyo jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Baadhi ya maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa wa ofisi
hiyo, lengo likiwa ni kutekeleza kwa ufanisi na weledi majukumu waliyokasimiwa.
Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi hiyo na kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa
njia ya mtandao, jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLA),
Dickson Mwanyika akisisitiza umuhimu wa watumishi wa umma kupata mafunzo ya
kujenga uwezo kwa watumishi wa umma lengo
ikiwa ni kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa ufanisi na weledi. Mafunzo hayo
ya siku tano, yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu na kuendeshwa na Wakala hiyo,
jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Mchumi mwandamizi Ofisi ya Waziri Mkuu, Happiness Mugyabuso akipitia
makabrasha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu waliyokasimiwa
maafisa wa Ofisi hiyo, Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu na kuendeshwa na Wakala hiyo jijini
Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa shughuli za serikali Paul Sangawe akisisitiza umuhimu wa ufanisi na weledi katika kutekeleza uratibu wa shughuli za serikali wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu waliyokasimiwa maafisa wa Ofisi hiyo, Mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu na kuendeshwa na Wakala hiyo jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa wa ofisi hiyo, lengo ikiwa ni
kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa ufanisi na weledi. Mafunzo hayo ya siku
tano, yameratibiwa na Ofisi hiyo na kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa njia ya
mtandao (TaGLA), jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Afisa Tawala Mwandamizi ofisi ya
Waziri Mkuu Stephen Magoha akichangia juu ya masuala ya Uratibu wa Ofisi hiyo
wakati wa mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa wa ofisi hiyo, lengo ikiwa ni kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa ufanisi na weledi. Mafunzo hayo ya siku tano, yameratibiwa na Ofisi hiyo na kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa njia ya mtandao (TaGLA), jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
Maafisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko wakati akisisitiza
umuhimu wa mafunzo ya kujenga uwezo kwa maafisa wa ofisi hiyo, lengo ikiwa ni
kutekeleza majukumu waliyokasimiwa kwa ufanisi na weledi. Mafunzo hayo ya siku
tano, yameratibiwa na Ofisi hiyo na kuendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa njia ya
mtandao (TaGLA), jijini Dodoma leo tarehe 24 Agosti, 2020.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.