Wednesday, March 21, 2018

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi akimsikiliza Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Ofisi hiyo Bw.Packshard Mkongwa mara baada ya kufunga kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi (katikati) akisisitiza jambo wakati akifungua Kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu lililofanyika tarehe 21Machi, 2018 mjini Dodoma.


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi akiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi hiyo leo mjini Dodoma kabla ya kufungua Kikao hicho.


Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi  wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano  leo mjini Dodoma kabla ya kufunguliwa  kwa Kikao  cha baraza hilo .


Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Flora Bilauri akifafanua jambo wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) Bi. Maimuna Tarishi akifurahia jambo na Katibu wa TUGHE mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya mara baada ya kufungua kikao cha Baraza hilo mjini Dodoma.


Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Ernajoyce Hallo akiuliza swali wakati wa mkutano wa baraza hilo lililofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu)Bi. Maimuna Tarishi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi hiyo  leo mjini Dodoma  baada  ya kufungua Kikao hicho

Mkurugenzi wa Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Packshard Mkongwa akiwasilisha mada ya Bajeti ya Ofisi hiyo kwa Mwaka 2018/19 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo


Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Alex Ndimbo akiuliza swali wakati wa mkutano wa baraza hilo lililofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.