Sunday, March 4, 2018

WAZIRI MKUU AKABIDHI PIKIPIKI MBILI KWA JESHI LA POLISI

 Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akikabidhi pikipiki mbili kwa Kamanda Mkoa wa Lindi, ACP. Pudensiana Protas, zilizotolewa na kampuni ya WU ZHOU Investment Company kwa Jeshi la Polisi, wakati alipo tembelea kituo hicho jana, Machi 4, 2018 , Wilayani Ruangwa. 

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.