Sunday, March 4, 2018

WAZIRI MKUU AKIWA SIZARANI JIMBONI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na wazee Omar Issa kulia na mzee Mussa Lambamba katikati, katika Kata ya Narungombe, Wilayani Ruangwa, Suleiman Likuche Waziri Mkuu yupo Wilayani ruangwa kwenye Ziara yake ya kikazi jimboni, katikati ni mzee Mussa Lambamba. Machi,3 2018,
Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akisalimiana na Diwani wa kijiji cha Chikwale kata ya Mbwemkulu, Wilayani Ruangwa, Suleiman Likuche, Waziri Mkuu yupo Wilayani ruangwa kwenye Ziara yake ya kikazi jimboni. Machi,3 2018.

Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chikwale kata ya Mbwemkulu, Wilayani Ruangwa, Waziri Mkuu yupo Wilayani ruangwa kwenye Ziara yake ya kikazi jimboni. Machi,3 2018.

Waziri Mkuu, Kassim.Majaliwa akizungumza na mzee Omar Issa, katika Kata ya Narungombe, Wilayani Ruangwa, Suleiman Likuche Waziri Mkuu yupo Wilayani ruangwa kwenye Ziara yake ya kikazi jimboni, katikati ni mzee Mussa Lambamba. Machi,3 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.