Saturday, March 31, 2018

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Machi 31, 2018.  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua  Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumbi wa Msekwa  mjini Dodoma Machi 31, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua  Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumbi wa Msekwa  mjini Dodoma Machi 31, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma, Machi 31, 2018.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.