Monday, March 19, 2018

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA 65 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFYA AFRIKA (ESCA )

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Afya wa Uganda .Sarah Opendi ,wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 65 wa Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Nchi  za Mashariki Kati na Kusini mwa Africa (ESCA Health Community) kushoto ni Wazri wa Afya wa Malawi Atupele Muluzi,Waziri Mkuu amefungua mkutano huo jana March 19/2018 Jijini Dar es salaam
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.