Tuesday, September 17, 2019

17.9.2019 ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI MOROGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia sukari, alipotembelea kiwanda cha Kilombero Sugar, kilichopo katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia maelezo ya uzalishaji wa sukari, wakati alipotembelea kiwanda cha Kilombero Sugar, kilichopo katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, katika kiwanda cha Kilombero Sugar, kilichopo katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Rwaha, wilayani Kilosa Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Rwaha, wilayani Kilosa Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la kituo cha afya cha Malolo, wilayani Kilosa Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti baada ya kuweka jiwe la msingi la kituo cha afya cha Malolo, wilayani Kilosa Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kuweka jiwe la msingi la kituo cha afya cha Malolo, wilayani Kilosa Morogoro, Septemba 17.2019.



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.