Saturday, September 14, 2019

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe, wakati akiwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019. Waziri Mkuu yupo mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tano.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea taarifa ya Mkoa, kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Steven Kebwe, baada ya akiwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na uongozi wa Mkoa wa Morogoro, mara baada ya kuwasili katika makao makuu ya kata ya Ifakara, Wilayani Kilombero Septemba 14.2019.



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.