Monday, September 9, 2019

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA KWANZA WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA CUBA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na ujumbe kutoka nchini Cuba, ukiongozwa na Naibu Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Marcelino Medina Gonzalez, kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimkabidhi zawadi ya kinyago, Naibu Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Marcelino Medina Gonzalez, kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea zawadi ya kitabu cha Rais wa kwanza wa Cuba, Fidel Castro, kutoka kwa Naibu Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Marcelino Medina Gonzalez, kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri wa Kwanza wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Marcelino Medina Gonzalez, kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.