Thursday, September 26, 2019

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NGUZO ZA UMEME CHA QWIHAYA MJINI MAFINGA

Nguzo za umeme zikiwa kwenye mtambo wa kuziwekea dawa maalum ya kuzifanya zisishambuliwe na wadudu au kuungua moto zikiwa katika kiwanda cha Qwihaya General Enterprises Company Limited cha mjini Mafinga ambacho kilitembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, September 26, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua nguzo za umeme zilizorundikana kwenye kiwanda cha Qwihaya General Enterprises Company LTD cha Mafinga zikisubiri wanunuzi. Kiwanda hicho cha nguzo kilitembelewa na Waziri Mkuu, Septemba 26, 2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Leonard Mahenda,  wa tatu kushoto ni Meneja Uzalishaji wa kiwanda hicho, Fred Ngwega  na wa nne kusho ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy.

Baadhi ya  nguzo za umeme zilizorundikana  zikisubiri wanunuzi kwenye kiwanda cha Qwihaya General Enterprises Limited cha mjini Mafinga ambacho kilitembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Septemba 26, 2019.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.