Wednesday, September 25, 2019

MAJALIWA ASHIRIKI KILELE CHA WIKI YA MAZIWA MJINI IRINGA

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akishuhudia wakati Mchekeshaji Mai Zumo mmoja wa  Mabalozi wa wanaohamasisha unywaji wa maziwa ha kwa watoto mashuleni kupitia Kampuni ya ASAS, alipotambulishwa huku akiwa amebebwa na baba yake mzazi Zumo. Mheshimiwa Majaliwa alikuwa mgeni rasmi kaaika kilelele cha wiki ya Maziwa kwenye uwanja wa Mwembetogwa mini Iringa Septemba 25, 2019. Kulia ni Mama Mzazi wa Mai.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi Alhaj Alfan Ally wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi ya Viziwi ya mjini Iringa, zawadi ya shilingi laki moja baada ya kuibuka  mshindi wa kwanza wa Shindano la Uandishi wa Insha kuhusu Wiki ya Maziwa  wakati alipohutubia katika kilele cha wiki hiyo kwenye uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa, Septemba 25, 2019.



EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.