Thursday, September 19, 2019

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA SADC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu SADC, Mapalao Makuena (katikati), , nje ya ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mrakibu Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Gabriel Mukungu, wakati akiangalia mfumo wa unaorahisisha mawasiliano kwa vyombo vya usafiri (Traffic Information System - TIMS), kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa, uliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfumo wa unaorahisisha mawasiliano kwa vyombo vya usafiri(Traffic Information System - TIMS), kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa, uliyofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Injinia James Kilaba, nje ya ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia gari maalum la mtambo wa usimamizi wa masafa, nje ya ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, kabla ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019. Kulia ni Mhandisi Mwandamizi, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Victor Kweka.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu SADC, Mapalao Makuena, akizungumza kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu SADC, Mapalao Makuena (katikati), , nje ya ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wa masuala ya Tehama, Uchukuzi, Habari na Hali ya Hewa. Septemba 19.2019. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.