Wednesday, September 11, 2019

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI 11.09.2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 11.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.