Saturday, September 21, 2019

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA GEITA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI.

Vijana wa kijiji cha Nzela katika jimbo la Geita Vijijini wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza na wananchi baada ya kuakagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Geita, Septemba 21, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama baadhi ya vifaa tiba vilivyopatikana kutokana na juhudi za  mbunge wa Geita vijijini, Joseph Msukuma (kulia) kwa ajili ya  hospitali ya wilaya ya Geita iliyopo katika kijiji cha Nzela, wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo na kuzungumza na wananchi Septemba 21, 2019. Wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa wilya ya Geita, Deo Kisaka.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Geita katika kijiji cha Nzela, Septemba 21, 2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.