Wednesday, September 25, 2019

MAJALIWA AWASILI IRINGA KUANZA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ali Happy wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Septemba 24, 2019.  Kushoto ni Mwenyekiti w CCM wa Mkoa wa Iringa, Dkt Abel Nyamahanga.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.