Wednesday, September 25, 2019

ZAIDI YA WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI 390 WASIKILIZWA KERO ZAO RUVUMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki akihutubia wakati wa mkutano wa mashauriano baina na Serikali na sekta binafsi uliofanyika kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wafanyabiasha na wawekezaji katika mkoa wa Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2019.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Aristides Bwasi akisalimia wajumbe walioshiriki wakati wa mkutano huo.

Mkurugenzi Idara ya Utafiti, Sera na Mipango kutoka Kituo cha Uwekezaji (TIC) Bw.Bunini Mafutah akijibu hoja za wafanyabiasha walizowasilisha katika mkutano huo.

Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la biashara (TNBC)Bi. Oliver Vengulla akijibu hoja kuhusu masuala ya mabaraza ya biashara wakati wa mkutano hu.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula akijibu hoja za masuala ya ardhi wakati wa mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki kitabu cha muongozo wa uwekezaji cha mkoa wake wakati wa mkutano huo. 
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishwa wa hoja kutoka kwa wafanyabiashara (hawapo pichani)
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akihutubia wakati wa mkutano wa mashauriano baina na Serikali na sekta binafsi uliofanyika kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wafanyabiasha na wawekezaji katika mkoa wa Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2019.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe.Angellah Kairuki (hayupo pichani)


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.