Monday, September 9, 2019

MAMA TARISHI ASTAAFU UKATIBU MKUU, ASHAURI UTUMISHI WA UMMA WA KIBIASHARA

Aliyekuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi, (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Bi. Dorothy Mwaluko, (kulia) wakifuatilia shughuli za ujenzi zinazoratibiwa na Ofisi hiyo, wakati wa kumkabidhi miradi ya Ujenzi aliyokuwa anairatibu, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza  aliyekuwa Katibu Mkuu,  Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi,(hayupo pichani) wakati alipokutana na watumishi hao kuwaaga rasmi baada ya kustaafu kwa mujibu wa sheria, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza  aliyekuwa Katibu Mkuu,  Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi,(hayupo pichani) wakati alipokutana na watumishi hao kuwaaga rasmi baada ya kustaafu kwa mujibu wa sheria, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Bi. Dorothy Mwaluko  akisisitiza jinsi Ofisi hiyo itakavyoendelea kutekeleza ushauri na nasaha zake kwa vitendo wakati wa mkutano na watumishi wa ofisi hiyo wa kumuaga   rasm,  aliyekuwa Katibu Mkuu,  Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi, akimkabidhi taarifa ya makabidhiano ya Ofisi hiyo, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Bi. Dorothy Mwaluko, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Bi. Maimuna Tarishi, akiongea na watumishi wa Ofisi hiyo wakati akiwaaga rasmi baada ya kustaafu kwa mujibu wa sheria, tarehe, 9 Septemba, 2019, Jijini Dodoma.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.