Friday, September 27, 2019

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KILOLO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Happy na Mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah (wa pili kushoto) kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kilolo , Septemba 27, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019. 

Muonekano wa sehemu ya hospitali ya wilaya ya Kilolo ambayo ujenzi wake uko katika hatua za mwisho. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo  Septemba 27, 2019 na kusema kuwa amefurahishwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada kukagua na kufurahishwa na ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019.




EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.