Wednesday, September 18, 2019

18.9.2019 ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MKOANI MOROGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anatoka kwenye jengo la kituo cha afya Mkuyuni, baada ya kukagua ujenzi wa kituo hicho, katika Wilaya ya Morogoro, Septemba 18.2019.
Wananchi wa Mkuyuni, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wilayani Morogoro, Septemba 18.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Mkuyuni, wilayani Morogoro, Septemba 18.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Injinia, Godfrey Mlowe (kulia), baada ya kukagua jengo la kituo cha afya Mkuyuni, kilichopo katika Wilaya ya Morogoro, Septemba 18.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Chifu Kingalu Mwanabanzi wa kumi na tano, Hussein Ally Machaga (kulia), nje ya jengo la kituo cha afya Mkuyuni, katika Wilaya ya Morogoro, Septemba 18.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa kituo hicho, katika Wilaya ya Morogoro, Septemba 18.2019.
Wananchi wa Mkuyuni, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wilayani Morogoro, Septemba 18.2019.




EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.