Monday, September 9, 2019

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 9.2019.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.