Wednesday, September 4, 2019

WAZIRI MKUU ATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na ujumbe kutoka China Academy of Building Research, ambao umekuja kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wa awamu ya pili, leo Septemba 4.2019. Mradi huo ni miongoni mwa matunda ya ziara ya Waziri Mkuu aliyoifanya nchini China Oktoba 31, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka China Academy of Building Research, ambao umekuja kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete wa awamu ya pili, leo Septemba 4.2019. Mradi huo ni miongoni mwa matunda ya ziara ya Waziri Mkuu aliyoifanya nchini China Oktoba 31, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.