Saturday, September 28, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA IRINGA MJINI NA IRINGA VIJIJINI

 Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya  Iringa Mini na Iringa Vijijini pamoja na vionzi wa Vyama vya siasa na Viongozi wa  Dini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa, Septemba 28, 2019.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Abel Nyamahnga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya  Iringa Mjini na Iringa Vijijini pamoja na vionzi wa Vyama vya siasa na Viongozi wa  Dini  kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa, Septemba 28, 2019.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Abel Nyamahnga.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.