Tuesday, September 17, 2019

17.9.2019 ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MKOANI MOROGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kibaoni, katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na ni mke wake, Mary Majaliwa (kushoto), akizungumza na wananchi, wakati alipokagua kituo cha Afya Kibaoni, katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitembelea wagonjwa, kwenye Kituo cha Afya Kibaoni, kilichopo katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Daktari Mkuu wa Kituo cha Afya Kibaoni, Happiness Ndosi  (kushoto), akikagua kituo hicho, kilichopo katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na Daktari Mkuu wa Kituo cha Afya Kibaoni, Happiness Ndosi  (kushoto), akikagua kituo hicho, kilichopo katika Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Septemba 17.2019.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.