Monday, September 2, 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MSHAURI WA MASUALA YA AFYA WA JAPAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mshauri  Maalum  wa Masuala ya Afya  wa Taasisi ya Tokushukai General Incorporated ambayo  iko chini ya serikali ya Japan , Bw. Akio Egawa  kwenye uwanja wa ndege wa Narita nchini Japan kabla ya kuondoka kurejea nyumbani baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi nchini humo, Septemba 2, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan alikokuwa amefikia wakati alipoondoka   kurejea nyumbani baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi, Septemba 2, 2019.
EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.