Friday, September 20, 2019

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA LA USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MIRADI YA KIMATAIFA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. Festus Limbu, wakati akiwasili kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dodoma, kufunga Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati. Septemba 20.2019.
Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Dkt. Festus Limbu, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu,Jenista Mhagama, akizungumza na washiriki, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mwongozo wa Taifa wa ushiriki wa wananchi katika uwekezaji na tovuti ya miradi ya mikakati, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika kitabu cha mwongozo wa Taifa wa ushiriki wa wananchi katika uwekezaji, baada ya kuzindua mwongozo huo, kwenye Kongamano la Kitaifa la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati, lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dodoma. Septemba 20.2019.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.