MISA Takatifu ya kuuaga Mwili wa
aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye
Ulemavu), na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi,
iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu lililopo Kihesa Iringa
leo tarehe 30 Machi, 2026 nakuongozwa na Askofu wa Jimbo la iringa Romanus
Mihali.
Misa hiyo imehudhuriwa na
viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Viongozi wa dini
pamoja na Waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa na nje ya
mkoa huo.
Mhe. Lukuvi amefariki dunia
tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Mkoani Dodoma
alipokuwa akipatiwa matibabu.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.