NAIBU
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Mhe. Ummy
Nderiananga akiwa katika ibada ya kuaga mwili aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu Mhe. William
Lukuvi leo katika viwanja vya Karimjee Hall Jijini Dar es salaam.
Mhe.
Lukuvi amefariki dunia tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin
Mkapa Mkoani Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.