Mwili wa aliekuwa Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge
wa Jimbo la Isimani, Mhe. William Lukuvi, ukiwasili katika Kiwanja cha
Ndege cha Iringa tarehe 29 Machi, 2026.
Mwili huo umesafirishwa kutoka
Dar es Salaam leo baada ya shughuli ya kuaga iliyofanyika jana Machi 28, 2026
katika Viwanja vya Karimjee.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.