Friday, January 17, 2020

WAZIRI MKUU AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA SIKU TATU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan, wakati akiwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar, kushoto ni Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Miches, Balozi, Ali Abeid Karume. Januari 17, 2020. Waziri Mkuu, atakuwepo Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi, Seif Ali Iddi, baada ya kuwasili Zanzibar, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Zanzibar. Januari 17, 2020.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.