Tuesday, January 14, 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA YA WILAYA YA RUANGWA, MKOANI LINDI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, kushoto Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa, Ibrahim Juma. Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa, Ibrahim Juma, baada ya kuweka jiwe la msingi la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, iliyopo mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati alipozindua jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, baada ya kuzindua rasmi jengo hilo, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, baada ya kuzindua rasmi jengo hilo, Januari 13, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya ruangwa, baada ya kuzindua Jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya ruangwa, baada ya kuzindua Jengo la Mahakama ya Wilaya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimwagilia mti, mara baada ya kuupanda, kwenye uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.