Friday, January 17, 2020

ZIARA YA WAZIRI MKUU ZANZIBAR -PEMBA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia ramani ya maboresho ya Mkoani Hotel, iliyopo katika Wilaya ya Chakechake Pema, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu Unguja na Pemba. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa maboresho ya Mkoani Hotel, iliyopo katika Wilaya ya Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua mradi wa maboresho ya Mkoani Hotel, iliyopo katika Wilaya ya Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akicheza ngoma ya msewe, wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Studio za Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) , uliyopo wilayani Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Studio za Shirika hilo, wilayani Chakechake Kusini Pemba. Januari 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha mafunzo ya awali Daya, unaogharamiwa kwa ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB), kilichopo Wilayani Wete Pemba. Januari 17, 2020.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.