Monday, January 13, 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AZINDUA JENGO LA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA (TAKUKURU) WILAYANI RUANGWA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya ruangwa, wakati wa uzinduzi wa jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), lililopo katika Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jenerali John Mbungo, wakati alipozindua jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, wakati alipozindua jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jenerali John Mbungo, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati alipozindua jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jenerali John Mbungo, wakati alipozindua jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jenerali John Mbungo, akizungumza na wananchi wa Wilaya ya ruangwa, wakati wa uzinduzi wa jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), lililopo katika Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brig. Jenerali John Mbungo, wakati alipozindua jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipanda mti, baada ya kuzindua jengo la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 13, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.