Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa
Palamagamba Kabudi (Mb), amekutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), katika Ofisi ya Spika Jijini
Dodoma.
Katika
kikao hicho, Dkt. Jim Yonazi, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge,
Uratibu na Wenye Ulemavu), alihudhuria na kushiriki katika mazungumzo hayo.
EmoticonEmoticon
Note: Only a member of this blog may post a comment.