Friday, February 21, 2020

MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA MJINI KIGOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika Swala ya Ijumaa Kwenye Msikiti wa Mujahidina  eneo Buzebazeba mjini Kigoma, Februari 21, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi  baada ya kushiriki Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Mujahidina, eneo la Buzebazeba mjini Kigoma, Februari  21, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.