Wednesday, February 5, 2020

MAJALIWA ATEMBELEA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO MKOANI LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo la mto Njinjo katika kijiji cha Kipindimbi wilayani Kilwa  lililoathiriwa mafuriko wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februri 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha Kipindimbi  wilayani Kilwa wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika kwa mafuriko katika mkoa wa Lindi, Februari 5, 20-20.
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha Nambilanje wialyani Ruangwa wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko mkoani Lindi kuwapa pole wananchi, Februari 5, 2020.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.