Tuesday, February 11, 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA NA BODI YA NHC

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dkt. Sophia Kongela, orodha ya majina ya taasisi na watu binafsi ambao ni wadaiwa sugu wa  NHC katika mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika bahasha yenye orodha ya majina ya wadaiwa sugu wa Shirika la Nyumba la Taifa  (NHC) baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Dkt. Sophia Kongela katika mazungumzo kati yake na Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  baada ya kuzungumza nao ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. Kutoka kushoto ni Charles Singili, Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Dkt Sophia  Kongela, Makamu Mwenyekiti,  Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni Abdallah Shamte.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Humphrey Polepole baada ya kuzungumza na wajumbe wa Bodi hiyo ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Abdallah Shamte, Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Sophia Kongela, Makamu Mwenyekiti wa Bodi,  Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni  Charles Singili.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.