Thursday, February 13, 2020

MAJALIWA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA JIJI LA DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma baada ya kuuzindua kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma baada ya kuuzindua kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mzee Maarufu jijini Dodoma, Mohammed Makbel baada ya kuzindua Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Februari 13, 2020. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.