Friday, February 21, 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA MKOA WA KIGOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga  (wa tatu kushoto), Mwenyekiti wa CCM wa  Mkoa wa Kigoma,  Amandus Nzamba  (wa pili kushoto) na Mjumbe wa  Halmashauri Kuu  ya Taifa ya CCM, Kirumbe Ngenda wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku moja, Februari  21, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye  Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku moja, Februari 21, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku moja, Februari 21, 2020. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wajumbe wa Mkutano wa Halmashuri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Kigoma wakati alipozungumza katika mkutano huo, Februari 21, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya  CCM ya Mkoa wa Kigoma kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma, Februari 21, 2020.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu  ya CCM ya  Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu na  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Februari21, 2020.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu  ya CCM ya  Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu na  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM , Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Februari21, 2020.EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.