Thursday, April 20, 2017

BUNGENI LEO APRILI 20,2017 : MASWALI KWA WAZIRI MKUU HABARI PICHA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza kikao  cha bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Mchungaji Dkt. Getrude Rwaktare akisindikizwa na baadhi ya wabunge kuingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma ili kuapishwa kuwa mbunge wa   Viti Maalum,  Aprili 20, 2017.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 20, 2017.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni  Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene  Magige na Joyce Mukya.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.