Tuesday, April 11, 2017

SERIKALI KUJENGA KITUO CHA URATIBU WA MAAFA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya Kupitishwa kwa makadirio ya Bajeti ya ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Dodoma Aprili 11, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akichangia hoja wakati wa kujadili makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Bungeni Dodoma Aprili 11, 2017, aliyekaa ni Naibu wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake mara baada ya Kupitishwa kwa makadirio ya Bajeti ya ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Dodoma Aprili 11, 2017.
Ni baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya Bajeti yao kupitishwa Bungeni Dodoma Aprili 11, 2017 katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama na wakwanza kulia ni Naibu wake Mhe. Antony Mavunde.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Ofisi yake Nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kupitishwa kwa Makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake kwa mwaka 2017/2018 Dodoma, kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.