Saturday, April 15, 2017

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKULIMA NA WADAU WA ZAO LA TUMBAKU MJINI TABORA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye  ukumbi wa Isike  Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora,  Hassani wa  Kasubi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye  ukumbi wa Isike  Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya Msingi na wadau wa zao la tumbaku kwenye  ukumbi wa Isike  Ngw’ana Kiyungi mjini Tabora Aprili 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora, Hassani wa  Kasubi.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiagana na wabunge, Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Tabora  kwenye uwanja wa ndege wa Tabora baada ya kuzungumza na Wakulima, Wenyeviti wa Vyama vya  Msingi  na wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Isike Ng’wana Kiyungi mjini Tabora  Aprili 15, 2017. 


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.