Wednesday, April 19, 2017

BUNGENI LEO TAREHE 19 APRILI,2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Mawaziri kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na  Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Rufiji,  Mohamed  Mchengerwa kwenye jengo la utawala la bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2017. 

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.