Friday, December 8, 2017

DODOMA LEO DESEMBA 8,2017

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwira baada ya kutangaza rasmi kuhamia Chama cha Mapinduzi, katika ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete, mjini Dodoma Desemba 8, 2017.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.