Thursday, December 7, 2017

WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA


 Baadhi ya washiriki wa Ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Ofisi hiyo eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba  7, 2017.

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza katika ufunguzi wa Ofisi yake uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Dr. Augustine Mahiga  kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba  7, 2017. Kulia ni Mratibu  Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Alvaro Rodriguez.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Msanii maarufu wa mjini Dodoma Mwinamila baada ya onyesho la ngoma la kikunid cha msanii huyo kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto kwake), eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dr. Augustine Mahiga akizungumza  katika ufunguzi wa Ofisi ya Mratibu Mkazi  wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi w UNDP Nchini uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  kabla ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Desemba  7, 2017.

Waziri Mkuu,. Kassim Majaliwa akifungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi Mkazi wa  UNDP nchini eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, na Mwakilishi  Mkazi wa UNDP nchini, Bw.  Alvaro Rodriguez. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata keki ikiwa ni moja ya shughuli za ufunguzi  wa ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez  (kulia) eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mahariki, Dr. Augustine Mahiga. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa Nchini baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.  Watatu kushoto waliokaa ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mshariki, Dr. Augustine Mahiga na watatu kulia waliokaa ni Mratibu  Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. Alvaro Rodriguez. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia ngoma ya msanii maarufu wa Dodoma, Mwinamila baada ya kufungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017.  Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Dr. Augustine Mahiga  na wapili kushoto kwake ni Mratibu Mkazi wa Mshirika ya Umoja wa mataifa ma Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi Mkazi wa UNDP. nchini, eneo la Mlimwa mjini Dodoma Desemba 7, 2017. Wapili kulia ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa  na Mwakilishi wa UNDP  Bw.  Alvaro Rodriguez na wanne kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dr. Augustine Mahiga 


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.