Wednesday, September 12, 2018

PROF. KAMUZORA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MENEJIMENTI YA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART)

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika Ofisi za Wakala wa Magari yaendayo kwa Haraka (DART) zilizopo jengo la LAPF Kijitonyama tarehe 12 Septemba,2018 Dar es Salaam.  Kulia ni Mtendaji Mkuu Wakala wa Magari yaendayo Haraka (DART) Ronald Lwakatare.

Mtendaji Mkuu Wakala wa Magari yaendayo Haraka (DART) Ronald Lwakatare (Kulia) akimweleza jambo Katibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora  alipotembelea ofisi hizo tarehe 12 Septemba,2018 Jijini Dar es Salaam kujifunza namna ofisi hizo zinavyofanyakazi.


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Menejimenti ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kwenye ofisi zao katika jengo la LAPF tarehe 12 Septemba,2018.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akimsikiliza kwa makini Mtendaji Mkuu Wakala wa Magari yaendayo Haraka (DART) Ronald Lwakatare (Aliyesimama) wakati akielezea jambo kuhusu utendaji kazi wa ofisi hiyo tarehe 12 Septemba, 2018 Jijini Dar es Salaam.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.