Tuesday, September 11, 2018

BUNGENI LEO TAREHE 11.09.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11, 2018. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi. Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harison Mwakyembe, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa Chalinze Rizwani Kikwete, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.