Thursday, September 20, 2018

ZIARA YA WAZIRI MKUU DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza mwanafunzi wa kidato cha sita Veronica Sharma wa Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.