Friday, September 14, 2018

MAJALIWA ASALIMIANA NA BONDIA HASSAN MWAKINYO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Bondia Hassan Mwakinyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Septemba 14, 2018. Mwanamasumbwi huyo hivi karibuni alimtwanga kwa TKO, Bondia Sam Egginton wa Uingereza katika pambano lililofanyika Birmingham.

EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.