Tuesday, April 9, 2019

WABUNGE WARIDHISHWA NA HATUA ZA UWEZESHAJI VIJANA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana  na Ajira Mhe. Antony Mavunde akisisitiza umuhimu wa kuwawezesha vijana kukuza ujuzi kupitia programu maalum inayosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu , hayo yamejiri  wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria ilipotembelea na kujionea wanufaika wa programu hiyo katika Wilaya za Dodoma Mjini na Chamwino mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi cha DON BOSCO wanaonufaika na mpango wa Serikali kuwaongezea ujuzi vijana kupitia programu maalum inayotekelezwa kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mkurugenzi wa Ajira kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Ally Msaki akizungumza wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria ilipotembelea na kujionea wanufaika wa programu hiyo katika Wilaya za Dodoma Mjini na Chamwino mwishoni mwa wiki.
Makamu Mkuu wa Chuo Cha Ufundi stadi DONBOSCO Bw. Auson Ntoga akizungumza wakati wa ziara ya ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria ilipotembelea na kujionea wanufaika wa programu hiyo katika Wilaya za Dodoma Mjini na Chamwino mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe.  Antony Mavunde akiteta jambo na  Mkurugenzi wa Ajira kutoka Ofisi hiyo Bw. Ally Msaki.


EmoticonEmoticon

Note: Only a member of this blog may post a comment.